CAF: Goli la Mwamba Chama ni goli bora la week

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.


My Take
Hii ni heshima ya nchi na ligi yetu. Wadau wote bila kujali itikadi tukampigie kura Chama tumalize kazi.

Sasa wamelingana kura mwarabu. Tulichobakisha ni kupiga kura za hasira na kumpita kwa mbali
 
Huyo ni Triplle C mwamba wa Lusaka
##weka mbali na wafukuza upepo##
Mimi nikiwa na akili zangu timamu sijashikiwa bunduki, nikaamua nichome viatu vyangu vya mpira moto, haiwezekani chama acheze mpira eti na mimi nicheze mpira.
Wakati nataka kuchoma viatu moto nikakumbuka kumbe kuna kina jesus moloko wanacheza mpira kuna kina kibu D nimeghairi kuchoma viatu vyangu moto 🀣
 
Umeonaa ee inabidi upambane tuu πŸ˜†πŸ˜†
 
Mchezaji ambaye hajitumi uwanjani, hakimbii, yupo slow, mchezaji wa mechi ndogo leo imekuwaje CAF wakatoa recognition ya ubora kwa mchezaji wa namna hiyo?
CAF wamehongwa na Mudi..
 
Leo na wewe umekua na hekima [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimekumbuka comment yako ya jana
Sijawahi kukosa hekima ingawa si mkamilifu kwa 100% ISIPOKUWA huwa niko neutral kulingana na jinsi utavyoingia kwenye 18 zangu, yani ukija kiusiku usiku nami nitakujia kiusiku usiku halikadhalika ukinijia kimchana mchana nami ndivyo nitavyokuwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…