GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jezi za Klabu Bingwa na Shirikisho zonatakiwa ziwe na Uhalisia wa Soka ( Mpira ) tu na siyo kuwa na Jezi zenye Picha za Vifusi, Maghorofa na Machinjio ya Vingunguti.
Kuna Timu Moja hapa Tanzania ( siyo Simba SC ) inaweza Kucheza Kifua Wazi ( Kidali Po ) Mechi zake za Klabu Bingwa Afrika ( hatua za Wasiojua ya Awali kabisa ) kutokana na CAF kutoikubali kabisa Jezi Kituko yao.