CAF imetangaza kuanza mashindano ya Super League Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Patrice Motsepe, ametangaza kuanza kwa African Super League ambayo itakua na zawadi ya Tsh. Bilioni 233.2

Ni utekelezaji wa pendekezo la Rais wa FIFA, Gianni Infantino ambalo lilipata upinzani mkali kwenye nchi za Ulaya

Itakuwa na timu 24 kutoka mataifa 16 na michezo 197 ya michuano hiyo itachezwa kuanzia Agosti 23 hadi Mei 24

--------

An African Super League is to be announced on Wednesday by Confederation of African Football president Patrice Motsepe with the promise of $100-million in prize money for clubs across the continent.

The project has been in the pipeline since it was first suggested by FIFA president Gianni Infantino in early 2020 and met with almost none of the derision and outrage that followed a similar attempt in Europe last year.


Only the players' union in South Africa, in a statement this week, has criticised the plan, saying: "Professional football in South Africa and Africa could be at risk if the resolution to commence with the Super League is implemented and there may be no return from the wreckage that a Super League can become."

Motsepe has promised sponsorship and revenue returns previously unheard of for African football, where the annual Champions League winner earns $2.5-million in prize money.

REUTERS
 
SUPER LEAGUE YALETWA AFRIKA

Kutoka jijini Arusha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo Agosti 10,2022 limezindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8

CAF imepitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania.

Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania.

Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.

Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni.

Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League

1 Al Ahly

2 Zamalek

3 Pyramid

4 Al Masry

5 Wydad AC 6 Raja Athletic

7 RS Berkane

8 Esperance

9 Etoil Sportive Du Suhel

10 Orlando Pirates

11 Kaizer Chiefs

12 Mamelodi Sundowns

13 JS Kabyile

14 CR Belouzidad

15 E.S Setif

16 TP Mazembe 2 17 Horoya AC

18 SC Enyimball

19 Petro de Luanda

20 Simba SC

21 Asante Kotoko

22 Al Hilal

23 Asec Mimosas

24 Coton Sport
 
Daaaaah. Watoe pesa tusajili tutatoboa tu
 
Lazimisha hapo bana nafasi mpaka Yanga wawemo.
embu pekecha hapo kwenye 15 lazimisha kuwe na 15 na nusu iwe ndo nafasi ya Uto.
 
Hakika utopolo wataendelea kuweweseka
 
Ndo hizo tu....vip kuhusu bingwa mtetez sasa @ yangaSc?
 
Utasikia Karia kawapendelea tena Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…