CAF imetangaza kuanza mashindano ya Super League Afrika

Unapoona hii kitu ulaya wamekataa kisha wanakuja kufanyia majaribio huku inatia mashaka.

I bet hii kitu haitafika mbali
Wewe Kama siyo uto usinyooshe mkono juu,Ila Kama ni uto fanya Kama unajikuna
 
Hii orodha imetolewa na CAF au CUF?
 
vigezo vya kushiriki hii ligi ni vipi?
 
Unapoona hii kitu ulaya wamekataa kisha wanakuja kufanyia majaribio huku inatia mashaka.

I bet hii kitu haitafika mbali
Ulaya na afrika ni mbingu na ardhi kwenye soka..........hii ndio itakua uefa yetu
 
Ahsanteeeeee.
 
Unapoona hii kitu ulaya wamekataa kisha wanakuja kufanyia majaribio huku inatia mashaka.

I bet hii kitu haitafika mbali
Poleeeeeeeh!!!! Hadi chozi linadondoka maskiniiii weee!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida hao washiriki wanabebwa,eti wameangalia rank ya Caf....rank hiyo ina validity ipi?simba ya miaka miwili nyuma si ya leo!..eti hadi leo Namungo yupo vizuri kuliko Yanga! Hii rank ya Caf haipo valid.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…