Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nimewaza na kuwazuia sanaa
Hivi kwa nini Sxafen walipewa adhabu mapema kabisaaa. Hili hali wotee walifanya Fujo na Simba siku Moja
Iweje Hawa jamaa leoo wameona tumeingia robo final
WANAANZA kutuadhibu
Adhabu yetu ilikuwa wapiii kwani?
Kwa nini wasubirie Simba tuingie robo final ndio watupe adhabu kama hiii
JE uungwana kweli?
TFF mnahuraji kuhiji hilii..anyway. Tupendane tukiwa haiiii