Nimewasha na kuwazuia sanaa
Hivi kwa nn sxafen walipewa adhabu mapema kabisaaa
Hili hali wotee walifanya Fujo na Simba siku Moja
Iweje Hawa jamaa leoo wameona tumeingia robo final
WANAANZA kutuadhibu
Adhabu yetu ilikuwa wapiii kwani??
Kwa nn wasubirie Simba tuingie robo final ndio watupe adhabu kama hiii
JE uungwana kweli
Tff mnahuraji kuhiji hilii..anyway
Tupendane tukiwa haiiiii....