CAF Nao ni Wababaishaji tu: Miafrika Ndivyo Tulivyo

CAF Nao ni Wababaishaji tu: Miafrika Ndivyo Tulivyo

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Angalia walivyopost matokeo ya mchezo baina ya Yanga na TP Mazembe kule Lubumbashi wiki chache zilizopita kama siyo ubabaishaji huo.
1681588876022.png


Miafrika ndivyo tulivyo.
 
Hiyo picha ya Yanga waliyotumia siyo timu iliyocheza na Mazembe, ni Yanga ya zamani sana nadhani ya mwaka juzi. Kama huo siyo ubabaishajiu ni nini; yaani hawakuweza kupata picha ya timu halisi iliyocheza siku hiyo.
 
Back
Top Bottom