CAF Qualifiers: Guinea 1 - DRC 0

CAF Qualifiers: Guinea 1 - DRC 0

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19.
Screenshot_20241117-004156.png
 
Loga,tia dawa msosi wao,pulizia vyumbani,raia ukimuona mchezaji wa guinea anazurura tia mitama,makonzi nk,mradi tushinde
Usiwe na wasi wasi; mimi nitagonga basi lao kwa mwendo wa kasi sana wakati wanaenda uwanjani ili kuwapa mshituko na mfadhaiko wa moyo pamoja na majeraha. Usijali kama nitapona kwani gari langu ni kama katapilar; ila ninaweza kufungwa jela lakini sijali kabisa mradi tu Taifa Stars washinde.
 
Gurassy atapididy mtu hapo... Tanzania si rahisi kufuzu..on paper sawa..lakini reality no..nasema no
Ntu inacheza Borussia Dotmond fanya mchezooi. Ila kosi letu Jana ni Kali matajili wawape bonas Tuwaue Guinea uzuri mwamunyetto hayumo Soo kufuzu uhakika.
 
tuongee na viongozi wa yanga km walibakiza hata dawa kidogo tuwachome baca mzize job na mudathir wao ni wazoefu watusaidie tutoboe
Kwahiyo kumbe Yanga walikuwa wanachoma sindano na sio kuhonga waamuzi? Kweli ninyi simba ni kama uchi wa mwanamke akiinama unakuwa sehemu nyingine na akikaa unakuwa pengine na hata akilala unakuwa pengine
 
Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Tutashinda Insha-Allah
 
Tanzania itashinda dhidi ya Guinea, la msingi WANASIASA KAENI KIMYA, KAENI MBALI NA TIMU.
 
Tanzania hata ikitokea bahati mbaya ikafuzu, bado ikifika huko Morocco itaenda kushiriki tu. Kwa hiyo itajua yenyewe kwenye mechi yake ya mwisho!

Tena wachezaji wake walivyo wazembe kwenye uwanja wa nyumbani, utashangaa inafungwa!!
 
Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Nitaangusha sherehe endapo hatutafuzu
 
Back
Top Bottom