Usiwe na wasi wasi; mimi nitagonga basi lao kwa mwendo wa kasi sana wakati wanaenda uwanjani ili kuwapa mshituko na mfadhaiko wa moyo pamoja na majeraha. Usijali kama nitapona kwani gari langu ni kama katapilar; ila ninaweza kufungwa jela lakini sijali kabisa mradi tu Taifa Stars washinde.Loga,tia dawa msosi wao,pulizia vyumbani,raia ukimuona mchezaji wa guinea anazurura tia mitama,makonzi nk,mradi tushinde
tuongee na viongozi wa yanga km walibakiza hata dawa kidogo tuwachome baca mzize job na mudathir wao ni wazoefu watusaidie tutoboeLoga,tia dawa msosi wao,pulizia vyumbani,raia ukimuona mchezaji wa guinea anazurura tia mitama,makonzi nk,mradi tushinde
Gurassy atapididy mtu hapo... Tanzania si rahisi kufuzu..on paper sawa..lakini reality no..nasema notuongee na viongozi wa yanga km walibakiza hata dawa kidogo tuwachome baca mzize job na mudathir wao ni wazoefu watusaidie tutoboe
Ntu inacheza Borussia Dotmond fanya mchezooi. Ila kosi letu Jana ni Kali matajili wawape bonas Tuwaue Guinea uzuri mwamunyetto hayumo Soo kufuzu uhakika.Gurassy atapididy mtu hapo... Tanzania si rahisi kufuzu..on paper sawa..lakini reality no..nasema no
Kwahiyo kumbe Yanga walikuwa wanachoma sindano na sio kuhonga waamuzi? Kweli ninyi simba ni kama uchi wa mwanamke akiinama unakuwa sehemu nyingine na akikaa unakuwa pengine na hata akilala unakuwa penginetuongee na viongozi wa yanga km walibakiza hata dawa kidogo tuwachome baca mzize job na mudathir wao ni wazoefu watusaidie tutoboe
Tutashinda Insha-AllahTanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Tanzania itashinda dhidi ya Guinea, la msingi WANASIASA KAENI KIMYA, KAENI MBALI NA TIMU.Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Na yule striker wao Serhou noma sana.Tanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Loga,tia dawa msosi wao,pulizia vyumbani,raia ukimuona mchezaji wa guinea anazurura tia mitama,makonzi nk,mradi tushinde
Kocha alikuwa anabetKocha mpuuuzi mechi mwanzo za kushinda akaleta utoto wake sababu yeye si ........wanatufanyia hivi ? Mpuuzi sasa ndio ameamka baada makelele media
Ametukoseaaaa sanaasKocha alikuwa anabet
Nitaangusha sherehe endapo hatutafuzuTanzania tuko katika nafasi ngumu ya kufuzu kushiriki michuano ijayo ya CAF hii ni baada ya Guinea kuifunga Congo DRC bao 1 kwa 0 na kushika nafasi ya 2 wakati Tanzania ni ya 3.Ili Tanzania ifuzu lazima ishinde katika mechi yake ya mwisho dhidi ua Guinea tar19. View attachment 3154063
Wakitangaza tu bonus jua tumefungwaNtu inacheza Borussia Dotmond fanya mchezooi. Ila kosi letu Jana ni Kali matajili wawape bonas Tuwaue Guinea uzuri mwamunyetto hayumo Soo kufuzu uhakika.
Kocha mpuuuzi mechi mwanzo za kushinda akaleta utoto wake sababu yeye si ........wanatufanyia hivi ? Mpuuzi sasa ndio ameamka baada makelele
SanaAmetukoseaaaa sanaas