CAF Qualifiers: Guinea 1 - DRC 0

Ile mechi ya Ethiopia haikuwa ya kutoka sare, hata DRC Congo hatukupaswa kufungwa nyumbani. Sasa kumekucha ndiyo tunakumbuka shuka
 
Tanzania hata ikitokea bahati mbaya ikafuzu, bado ikifika huko Morocco itaenda kushiriki tu. Kwa hiyo itajua yenyewe kwenye mechi yake ya mwisho!

Tena wachezaji wake walivyo wazembe kwenye uwanja wa nyumbani, utashangaa inafungwa!!
Mwamnyeto na bacca hawakawii kuchomesha
 
Kwahiyo kumbe Yanga walikuwa wanachoma sindano na sio kuhonga waamuzi? Kweli ninyi simba ni kama uchi wa mwanamke akiinama unakuwa sehemu nyingine na akikaa unakuwa pengine na hata akilala unakuwa pengine
hilo tusi halinihusu Mimi linaenda direct kwa mzazi wako wa kike! shauri yakoooo!
 
Kocha mpuuuzi mechi mwanzo za kushinda akaleta utoto wake sababu yeye si ........wanatufanyia hivi ? Mpuuzi sasa ndio ameamka baada makelele media
Shida ilianzia game one alipoleta uswahili kwenye mambo serious
Hapa lolote litatokea ila sioni guinea wakipoteza game hii.
 
Ata wakifuzu wataenda kutia aibu +siasa na uchawa utakuwa mwing
 
Nilifanya kazi yangu nikabutua basi lao likayumba kama linataka kuangukla. Wachezaji walishtuka sana ila jambo jema ni kwamba traffic aliniacha tu kishkaji ila niliwapa wacheazji hao mashituko na mfadhaiko mkubwa sana, tukashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…