BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kuna marudianoCAF super cup-Final..
Esperance De Tunis and Raja Casablanca.
Mechi itapigwa leo saa moja kamili usiku...
Kuna marudiano
Nadhani super cup inamkutanisha bingwa wa CAF confederation na CAF champions so nahisi haina marudioSijajuwa kamanda wangu, nimecheck kama kutakuwa na second leg but sijaona chochote...
Nadhani super cup inamkutanisha bingwa wa CAF confederation na CAF champions so nahisi haina marudio
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina marudio inapigwa nje ya africa sijajua kama azam wataonesha itakuwa mechi nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wa supersport vipi hatupati hii game ? Kifurushi chetu cha 19,000[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inapigwa nchi gani??Kwa nini ikapigiwe nje ya Africa?? Si ingekuja kupigwa hata huku Tanzania??
Sent using Jamii Forums mobile app