CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
161544930_489544822426853_7350923301883320138_n.jpg

Mnyama Konde Boy na Zimbwe Jr
 
Kikosi cha simba sports club kutokea Tanzania kimechangia wachezaji wawili ambao ni Luis Jose Miqiusone na capt Mohamed Hussein kwenye kikosi cha wiki cha mechi za nne za makundi ambazo zilichezwa tarehe 16/3/2021 ambayo simba ilicheza na al mereikh na simba kushinda magoli matatu
aggysimbasportsclub_1615965275025798.jpg
 
Nashangaa Simba tunamtaka yule Beki wa Kulia wa AS VITA sjui Kapombe itakuwaje. All in All SIMBA SC ni timu ya kuigwa kwa sasa AFRIKA MASHARIKI NA KATI hilo halina Ubishi.

Wale akina APR, GORMAHIA, VITAL O, YANGA, VILLA SC nk Ambao walikuwa wanaisogelea kwa kariiibu kwa sasa wameachwa nyuma mile 1000 kwakweli. Wajipange kuleta changamoto kwa Simba.
Tuache utani huyu jamaa na mwenzake kapombe zile nafasi wanazotendea haki kwa kweli.

daaah
 
Chama anatazidi kupata mawazo...kwa kifupi shughuli yake imeishia hapo
 
Chama anatazidi kupata mawazo, kwa kifupi shughuli yake imeishia hapo
Akipaniki ndio atazidi kupotea.

Namuona sasa hivi uwanjani anafosi kufanya vitu kiasi anaharibu hadi move ya goli.

Ni vizuri kuwa na wachezaji bora wengi uwanjani, hii itafuta ile tabia ya kina okwi kuringa ringa.

Una chama, bwalya, miquissone, chizi bm3 n.k.. Ngumj mchezaji kujiona yeye ndio staa wa timu.
 
Hongera kwao na wanastahili kwa kazi waliyoifanya jana
 
Kiukweli Manula ndio alistahiki kukaa hapo. Maana ana Clean sheet kwa mechi zote. Huyo onyango alishapopolewa.
Hizo cleansheet nyingi zote zimechezwa wiki hii?hiyo ni team of the week, unaweza Kuwa umefanya Vizuri sana lakini akawepo na aliyefanya Vizuri zaidi Yako ktk wiki hiyo
 
Kiukweli Manula ndio alistahiki kukaa hapo. Maana ana Clean sheet kwa mechi zote. Huyo onyango alishapopolewa.
Baseline:::Team of the Week

Wanaangalia perfomance ya wiki husika..i.e mechi za jana zile
 
Back
Top Bottom