CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

M. Hussein,Onyango na Kapombe, Hawa watu Ni fire kwenye defense line ya simba
 
Usishangae acha kapombe aongezewe mtu
 
Ni kweli halafu hawana maneno mengi japo kuna mechi mbili tatu za nyuma kidogo alishuka kiwango.
Tuache utani huyu jamaa na mwenzake kapombe zile nafasi wanazotendea haki kwa kweli.
 
Mpira Pesa,mashabiki na mipango madhubuti
 
Hv wadau baada ya Hz mechi za makundi kuisha ,Itapigwa droo au anayeongoza Kundi. A basi anakutana na wa pili kundi B,?
 
Hv wadau baada ya Hz mechi za makundi kuisha ,Itapigwa droo au anayeongoza Kundi. A basi anakutana na wa pili kundi B

Hv wadau baada ya Hz mechi za makundi kuisha ,Itapigwa droo au anayeongoza Kundi. A basi anakutana na wa pili kundi B,?
hakuna droo. Winner wa Group A anacheza na runner wa group B,winner wa B na runner wa A. Hivyo kwa C&D. Kwa hiyo tukiwa wa 2 tutakutana na Mamelod,tukiwa winner tutacheza na mdebwedo wa B
 
hakuna droo. Winner wa Group A anacheza na runner wa group B,winner wa B na runner wa A. Hivyo kwa C&D. Kwa hiyo tukiwa wa 2 tutakutana na Mamelod,tukiwa winner tutacheza na mdebwedo wa B
Hapa kuna haja ya kuongoza kundi ili tukutane na hawa midebwedo bt nikimwangalia huyu anayeongoza group B ni wa moto sana yeye ni dozi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…