CAF waambiwe hii tabia ya kuchoma madawa ya kuongeza nguvu

CAF waambiwe hii tabia ya kuchoma madawa ya kuongeza nguvu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii timu inayodunga wachezaji madawa yaliyopigwa marufuku kwenye michezo kwa kusudi la kuongeza nguvu ifanyiwe vipimo vya kushtukiza siku ya mechi.

Hatuwezi kuacha hii hali ichukuliwe ya kawaida tu
 
Hii timu inayodunga wachezaji madawa yaliyopigwa marufuku kwenye michezo kwa kusudi la kuongeza nguvu ifanyiwe vipimo vya kushtukiza siku ya mechi.

Hatuwezi kuacha hii hali ichukuliwe ya kawaida tu
Ndio iliwafanya mkaletewa Manzoki kwenye uchaguzi?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3152495
Sisi ndiyo Yanga SC AKA

Manyani na Mammbwa SC
Sindano dawa za kuongeza nguvu SC
Jini Maimuna SC
Hamisa Mobeto Buzi la Aziz Ki SC
Mihadarati SC
Wavuta Shisha SC
Nyuki Asali SC
Mpumelelo pumuuuuu SC
Wachawi SC
Watembea uchi usiku kwenye viwanja SC
Wacheza Vigodoro SC.
Wagombaniwa na maraya SC
Kimoko cha chamazi SC
Wakimbizi kwenye viwanja vya watu SC
CCTV CAMERA SC
Uto de Supu la Ngo'mbe SC
 
Hii timu inayodunga wachezaji madawa yaliyopigwa marufuku kwenye michezo kwa kusudi la kuongeza nguvu ifanyiwe vipimo vya kushtukiza siku ya mechi.

Hatuwezi kuacha hii hali ichukuliwe ya kawaida tu
Baba yako Bora angepiga punyeto kuliko kuzaa tahira
 
Back
Top Bottom