CAF wafute kanuni za goli la Ugenini na Head to Head, vinaondoa ladha ya mpira mfano ni Mwakarobo Simba

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu

Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal difference Yao.
1736751247938.png
Kilichowafikisha hapo ni huu ujinga wa CAF ku entertain mambo ya goli la Ugenini na Head to head advantage,hii inakatisha tamaa na kumrudisha morale wa Timu.
1736751183561.png
 
Unaumia ukiwa wapi mkuu? Mbona hata Yanga mwaka jana baada ya kumfunga Belouizdad goli nne bila kwa mkapa tayari akafuzu kwa head to head?
Nyumbu huwa hawana kumbukumbu.Ndio maana wanafuatana tu.Herd thinking.Na amejua hayo baada ya Simba kuingia robo fainali.Nashauri ashauri pia magoli yaondolewe.Timu inayopiga pasi nyingi ishinde.
 
Yaan leo unalalamika ila kuna siku sheria hyo hyo itakufurahisha

Unajua kwanini waliamua kuweka hyo sheria wewe pi m b,ni kwamba ukifata sheria ya goal difference hii watu wanaweza panga matokeo

Lakin hii ya sasa ni ngumu kupanga matokeo,

Usijione wew una akili sana kuwazid caf brodenfuken
 
Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu

Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal difference Yao.
Kilichowafikisha hapo ni huu ujinga wa CAF ku entertain mambo ya goli la Ugenini na Head to head advantage,hii inakatisha tamaa na kumrudisha morale wa Timu.
Toa kwanza huo mwiko huko nyuma kisha uje tukufundishe jinsi ya kuingia robo faibali bila kutumia calculator, kumhonga Ibenge na kutegemea mechi ya mwisho.
 
Mambo ya Ibenge sijui nani ni upuuzi kwangu,jadili hoja
 
Yaan leo unalalamika ila kuna siku sheria hyo hyo itakufurahisha

Unajua kwanini waliamua kuweka hyo sheria wewe pi m b,ni kwamba ukifata sheria ya goal difference hii watu wanaweza panga matokeo

Lakin hii ya sasa ni ngumu kupanga matokeo,

Usijione wew una akili sana kuwazid caf brodenfuken
Lini nimewahi furahia huu upuuzi unaoharibu Radha ya soka? Timu zishindane Kwa ponti na magoli.
 
Nyumbu huwa hawana kumbukumbu.Ndio maana wanafuatana tu.Herd thinking.Na amejua hayo baada ya Simba kuingia robo fainali.Nashauri ashauri pia magoli yaondolewe.Timu inayopiga pasi nyingi ishinde.
Nilijua huo upuuzi uliondolewa kumbe Bado upo ,ukomeshwe mara moja
 
Hao usihangaike nao, kwanza wapo kombe la wakina mama. Ndio maana wanashangalia wakifika ndani chooni kwenye vioo wanalia balaa. Pili hao 5imba mwisho wao robo fainali maana kule sasa walau watakutana na timu achana na XSYZ hata majina hayatamkiki. Kwahiyo wala usipate nao tabu
 
Hakuna Kombe la kina mama Wacha upuuzi,jadili hoja
 
Lini nimewahi furahia huu upuuzi unaoharibu Radha ya soka? Timu zishindane Kwa ponti na magoli.
Kwani nani aliwazuia Bravos wasifunge magoli jana?Head to head ndio kanuni muhimu inayozuia upangaji wa matokeo.
Just curious kanuni hiyo haijaanza mwaka huu au umeijua kwa sababu Simba amequalify?
Bravos angeweza kupanga matokeo na Sfaxien kwani Sfaxien hana la kupoteza.
Goli difference yao ni minus 3 na Simba ana plus 2 hivyo angetakiwa kushinda goli 5 na kuiombea Simba afungwe na Constatine.
Kuzuia hali hiyo CAF wanaanza na head to head wakilingana then goal difference.
 
Wewe chura uliejificha kwny kujifanya huna timu... kumbe tushakujua ni utopolo mmoja hivi...ngoja nikwambie..
Simba bado hajamaliza game yake tufanye hajafuzu..muarabu akija atapigwa tutakua na point 13 huyo Bravoz wenu akishinda atakua na point 10 na hata tukitoa droo tutakua na point 11 mbele ya makwizi du zaire wenu...

Roho za korosho haziwapendezi wanaume
 
Back
Top Bottom