ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kisogoni kwako boss.Unaumia ukiwa wapi mkuu? Mbona hata Yanga mwaka jana baada ya kumfunga Belouizdad goli nne bila kwa mkapa tayari akafuzu kwa head to head?
Kama nilivyofikiria namna utajibu, umekuja mlemle.Kisogoni kwako boss.
Ujinga wa hivyo ndio nataka ufutwe hauna Tija
Nyumbu huwa hawana kumbukumbu.Ndio maana wanafuatana tu.Herd thinking.Na amejua hayo baada ya Simba kuingia robo fainali.Nashauri ashauri pia magoli yaondolewe.Timu inayopiga pasi nyingi ishinde.Unaumia ukiwa wapi mkuu? Mbona hata Yanga mwaka jana baada ya kumfunga Belouizdad goli nne bila kwa mkapa tayari akafuzu kwa head to head?
Toa kwanza huo mwiko huko nyuma kisha uje tukufundishe jinsi ya kuingia robo faibali bila kutumia calculator, kumhonga Ibenge na kutegemea mechi ya mwisho.Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu
Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal difference Yao.
Kilichowafikisha hapo ni huu ujinga wa CAF ku entertain mambo ya goli la Ugenini na Head to head advantage,hii inakatisha tamaa na kumrudisha morale wa Timu.
Mambo ya Ibenge sijui nani ni upuuzi kwangu,jadili hojaToa kwanza huo mwiko huko nyuma kisha uje tukufundishe jinsi ya kuingia robo faibali bila kutumia calculator, kumhonga Ibenge na kutegemea mechi ya mwisho.
Lini nimewahi furahia huu upuuzi unaoharibu Radha ya soka? Timu zishindane Kwa ponti na magoli.Yaan leo unalalamika ila kuna siku sheria hyo hyo itakufurahisha
Unajua kwanini waliamua kuweka hyo sheria wewe pi m b,ni kwamba ukifata sheria ya goal difference hii watu wanaweza panga matokeo
Lakin hii ya sasa ni ngumu kupanga matokeo,
Usijione wew una akili sana kuwazid caf brodenfuken
Nilijua huo upuuzi uliondolewa kumbe Bado upo ,ukomeshwe mara mojaNyumbu huwa hawana kumbukumbu.Ndio maana wanafuatana tu.Herd thinking.Na amejua hayo baada ya Simba kuingia robo fainali.Nashauri ashauri pia magoli yaondolewe.Timu inayopiga pasi nyingi ishinde.
Nimekwambia inshu ya magoli ni rahis kupanga matokeoLini nimewahi furahia huu upuuzi unaoharibu Radha ya soka? Timu zishindane Kwa ponti na magoli.
Hakuna Kombe la kina mama Wacha upuuzi,jadili hojaHao usihangaike nao, kwanza wapo kombe la wakina mama. Ndio maana wanashangalia wakifika ndani chooni kwenye vioo wanalia balaa. Pili hao 5imba mwisho wao robo fainali maana kule sasa walau watakutana na timu achana na XSYZ hata majina hayatamkiki. Kwahiyo wala usipate nao tabu
Bado,jadili hojaMkuu umeshaosha vyombo hapo kwa shemeji yako?
Wewe wacha ujinga, kamuulize Kaduguda atakuambia hilo kombe la shirikisho ni kombe la akina naniHakuna Kombe la kina mama Wacha upuuzi,jadili hoja
Kwani nani aliwazuia Bravos wasifunge magoli jana?Head to head ndio kanuni muhimu inayozuia upangaji wa matokeo.Lini nimewahi furahia huu upuuzi unaoharibu Radha ya soka? Timu zishindane Kwa ponti na magoli.
Kwa nini hukutolea mfano wa utopolo na CRB?Kisogoni kwako boss.
Ujinga wa hivyo ndio nataka ufutwe hauna Tija