CAF wanaipendelea Simba? Hii tena imenishangaza. Ina maana hawaoni juhudi zetu hawa watu?

CAF wanaipendelea Simba? Hii tena imenishangaza. Ina maana hawaoni juhudi zetu hawa watu?

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Simba wameongezewa muda na CAF. Sisi Yanga hatupendwi kila sehemu. Huu ni uonevu. Hata sisi tupo Shirikisho na tumeingia robo fainali tunastahili kuongezewa muda. Waache uhuni hawa CAF.
Screenshot_2025-01-29-20-57-20-561_com.whatsapp~2.jpg
 
Simba wanapaswa na walipaswa kusajili.

Timu ina madhaifu kibao Fadru anajifanya mjanja.

Anyway kupanga ni kuchagua.
 
Nikisoma mada za aina hii, akili yangu huwa inanipeleka moja kwa moja kwenye ile kauli ya Rage aliyoitoa kwenye ule mkutano.
 
Back
Top Bottom