njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa mechi za awali
Sasa basiii...Caf has done it again wamemualika adui wa matapeli ya soka la bongo kwenda kushuhudia fainali za CAf
Sasa basiii...Caf has done it again wamemualika adui wa matapeli ya soka la bongo kwenda kushuhudia fainali za CAf