CAF yafungua usajili wa muda mfupi kwa timu zilizoingia robo fainali

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
CAF imefungua usajili kwa timu zilizoingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho ili kufanya mabadiliko kwenye vikosi vyao.

Timu zote zinaweza kuingiza majina ya Wachezaji wapya ili kuchukua nafasi ya wachezaji walioondoka kwenye klabu.
 
Wewe umesikia wapi????
 
Chasambi amesajiliwa CAF na mechi dhidi ya Jwaneng alicheza na kufunga goli
 
Hii ni Pumba ya Wiki..
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Sasa wewe kucha kutwa humu kwenye nyuzi za Simba na Yanga unatafuta nini kama sio unafuatilia habari na comment za Simba na Yanga? Kwanini usitulie ufanye shughuli zako uache wanaopoteza muda? Yaani wewe ndio unaongoza kwa kurukwa na akili ila siku zote chizi hajioni ila anaona wenzie ndio machizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…