Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Basi sawa ndugu tuyaache sababu ya jina lako.Hivi Yanga inatambulika kimataifa, toka lini? Hata ile mechi ya jana mtangazaji alikuwa hana uhakika Yanga inatoka wapi, watu wanajuwa Simba tu.
Hivi Yanga inatambulika kimataifa, toka lini? Hata ile mechi ya jana mtangazaji alikuwa hana uhakika Yanga inatoka wapi, watu wanajuwa Simba tu.
Haya hebu pitia hapo uone timu ipi inatambulika kimataifa na ipi haitambuliki kimataifa.
Caf club championship
1)Zesco(Zambia)
2)Zamalek(Egypt)
3)ES Setif( Algeria)
4)Waydad AC( Morocco)
5)Asec Mimosas(Ivory cost)
6)Al Ahly(Egypt)
7)Enyimba(Nigeria)
8)Vita Club(DRC)
Caf confederation cup
1)Esperence(Tunisia)
2)Merreick( Sudan)
3)FUS Rabat( Morocco)
4)TP Mazembe( DRC)
5)Sagrada Esperanca(Angola)
6)Stade Malien(Mali)
7)Mo Bejaia(Algeria)
8)Al Ahli Tripoli(Libya)
9)Stade Gabesien(Tunisia)
10)Medeama(Ghana)
11) Yanga(Tanzania)
12)Etoile du sahel (Tunisia)
13)Mounana(Gabon)
14)Makasa(Egypty)
15)Mamelodi sundown(South Africa)
16)Kawkab Marrakech(Morocco)
Ndondo cup:
1) Simba SC ( Msimbazi)
2) Nondo FC ( Mwananyamala)
3) Vigwaza FC ( Yombo)
4) Kipunguni SC ( Vingunguti)
5) Kiburugwa Combine ( Mbagala)
6) Kinyerezi FC ( Kinyerezi)
7) friends Ranger ( Manzese)
8) Wailesi FC ( Temeke)
9) Toto Africa (Mwanza)
10) Coast Union ( Tanga)
simba 0 toto 1,mawe anapigwa hans pop naskia mnashiriki ndondo cupKwa mpira wa Yanga, tutasikia majigambo kibao magazetini kabla ya mpambano kuanza.....watatoka sare hapa Bongo na hawa wareno.....kisha wataenda kuzika maalbino Pemba kabla ya kwenda Angola kubebeshwa magunia ya magoli tena.
Simba wale wa serengeti au wa wapi? Maana kama hamchezi mechi za kimataifa, mnatambulikaje sasa? Pamoja na kushindwa katika mechi hizo lkn tumecheza na tuliocheza nao wametukubali.
Ninyi mmecheza ngapi?
Ukiongeza ya jana ni 2-3 kwa mbinde
simba 0 toto 1,mawe anapigwa hans pop naskia mnashiriki ndondo cup
subiria mashindano yako yakimataifa mtani jembe,na mapinduzi cupWatu bwana, anapigwa Real Madrid na vibonde, sembuse Simba?
Sasa yanga ya kimataifa ikifungwa na farao kuna shida gani?Watu bwana, anapigwa Real Madrid na vibonde, sembuse Simba?
Alirekebisha nani!!!!!! Ndio maana Hans Poppe amewaita Wapumbavu mashabiki wa Simba kama wewe hapo,.Hii list ilirekebishwa jana baada ya watangazi kutojuwa Yanga ni timu ya wapi, so usijishebedue.