Caf yampa Tegete goli alilofunga Abdi Kassim!

Caf yampa Tegete goli alilofunga Abdi Kassim!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
Inasemekena kwamba A. Kassim (mfungaji wa goli pekee la stars) alivaa jezi namba 10 ya J. Tegete ambaye kwasasa ametemwa na Kocha mpya (Paulsen).
My Take: Kama mchezaji akitemwa katika timu ya taifa, jezi namba aliyokuwa anavaa hairuhusiwi kuvaliwa na mchezaji mwingine?


Source: Global Publishers
 
Back
Top Bottom