CAF yamtaja Meddie Kagere na Emmanuel Okwi kuwania tuzo ya Mwanasoka bora Afrika

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemtaja mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere, pamoja na mshambuliaji Emmanuel Okwi, ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC na kupata mafanikio kwa klabu kufika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kwa sasa anacheza Itthad Alex SC ya nchini Misri, kuwa miongoni mwa wachezaji 20 wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa wanaochezea ligi za ndani kwa mwaka 2019. (African Interclubs Player of the Year)

Tuzo hizo ambazo hufanyika kila mwaka likihusisha jopo la wanahabari na wataalamu wa masuala ya soka chini ya shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF), zinatarajiwa kufanyika January 7, mwaka 2020 Citadel Azure, Hurghada nchini Misri.

 
Na washukuru, bila simba hao wasingejulikana
 
MK 14 Meddie Kagere, Terminator, Nguvu ya Mamba Kumayi.

Ndala wanataka kukupongeza lakini wakikumbuka ulivyo wafanya kamwe hawakupongezi

Kongole kwako..!
 
Mkuu Mwifwa dada yako Shadeeya ameziona au amezikia hizi habari na amezipokeaje?

Tukimwambia Simba SC Next Level tunamaanisha uhalisia..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…