CAF yamteua Millard Ayo kuripoti moja kwa moja michauno ya AFCON2017 kutoka Uwanjani

ila tatizo la mbwigga uswahili swahili (na vyeti hana=sidhani hata kama anajua kuandika/kusoma) nadhani wameona asituletee aibu nyingine hii tuliyo nayo ya KUTOKUJUA UNG'ENG'E inatutosha.

NB: Next time wamfikirie na yule DIVA akachombeze huko AFCON.
Hujatembea huna Exposure yoyote,unaweza kueleza usawahili uswa hili ni nini?
Kwa Taarifa yako Lugha rasmi ya CAF ni kifaransa.Hata kirefu cha CAF ni Confederation de Africaine Football
Kwa hiyo kutojua kiingereza kule sio ishu,kuna vitendea kazi kwenye news room utatafsiriwa kwa lugha uitakayo.
Kuna waandishi wanajua kireno wengine kifaransa,kiingereza sio ishu
 
Millard hayui sports kabisa iweje ateuliwe yeye waache wale wenye ufahamu wa maswala ya mpira ??
 
B 12 twangalaa ana duka la nguo brand name Born 2 Shine
 
B 12 twangalaa ana duka la nguo brand name Born 2 Shine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…