Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Afadhali hii ni your take maana ni uharo wa hatari sana.My take:
Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha ujinga wa hali ya juu.
Mkuu nimeona uzi kule jukwaa la siasa ukisema Senegal ilifuata msimo wa CHADEMA. Minasema niliyoyaona tu. Toba shikio.CAF imesema tabia hiyo ni “unacceptable behaviour”.
Thiaw atasimamishwa (suspension), idadi ya mechi bado haijatangazwa.
CAF inachunguza video zote, na kuna uwezekano wa adhabu zaidi kwa maofisa au wachezaji.
My take:
Senegal wanapaswa waondolewe ushiriki wa kombe la dunia maana walionesha ujinga wa hali ya juu.