CAF yaruhusu mashabiki kutazama mechi ya Tanzania na Tunisia

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Shirikisho la Mpira ya Miguu Afrika (CAF) limesema mashabiki wataruhusiwa kutazama mechi ya kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia

Mechi itachezwa Jijini Dar katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Novemba 17, 2020. CAF imesema idadi ya mashabiki itakuwa nusu (50%) ya uwezo wa Uwanja

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema linafanya mawasiliano na Serikali kukidhi matakwa ya CAF

 
Nawapongeza sana TFF kwa jitihada kubwa walizofanya kuishawishi CAF kwamba hapa nchini kwetu Hakuna Corona.

Ila nawashauri waende mbali zaidi kwamba hiyo 50% siyo sahihi maana Tanzania ni mahala salama kabisa hivyo CAF waheshimu Na kuwaruhusu mashabiki kuingia bila Kikomo cha Idadi ya 50%
 
Ninkweli hasa ukizingatia timu zetu zinategemea mapato ya mlangoninkwa asilimia kubwa
 
Hapo tutakuwa tushapigwa goli nyingi Tunis then mbele ya mashabiki karibu 30,000 tunakuja kufa tena Taifa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…