mpira wa Yanga, Hata SIMBA pia ni ewa kwenye magazeti yetu ya nyumbani, uhalisia unaonesha kua hakuna ubora zaidi ya kipimo cha kujisifu hapa nyumbani, tujipime na kufanya mambo na si kupiga stori kwenye kahawa na kudanganyana kuwa tuna klabu bora, nyakati za kudanganyana zimepita, tunahitaji kwenda world cup, Yanga inaubora sana wa kuiba wachezaji wa Simba, lakinihaina ubora wa kusajili yenyewe, ina mashabiki wengi lakini haitumii rasilimali watu vizuri, porojo zinaua michezo nchini, siasa na michezo tumeshindwa kuzitenganisha, tutalia milele