CAF yatoa list ya Klabu Bora 50 Afrika Yanga haimo- je yanga imezidiwa hata na Azam na SIMBA??

Post No.56 hapo juu yahusika.

Kujidai kote kuko wapi sasa? Kelele nyingi utafikiri mko mbali kama vile nchi na mbingu zilivyombali. Ninyi mnatumia answers.com ambapo unapata maoni yoyote tu hata kama ni ya kipambavu, given kila mtu ana uhuru wa kujibu ama kupost chochote kile.

Tafuta Azam FC ilipo.

[TABLE="width: 1024, align: center"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]
52
[/TD]
[TD](660)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Simba SC (Dar-es-Salaam)
652nd (1995) - 1965 - 2012, 2012, 2012
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]TAN[/TD]
[TD="align: right"]74[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]54[/TD]
[TD](665)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]AS Kaloum Stars (Conakry)
554th (1981) - 1965 - 2007, 2007, 2007[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]GUI[/TD]
[TD="align: right"]73[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]54[/TD]
[TD](665)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]MC Oran
576th (1998) - 1971 - 1999, 1999, 1996[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]ALG[/TD]
[TD="align: right"]73[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]54[/TD]
[TD](665)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Stella (Abidjan)
534th (1993) - 1974 - 2012, 2012, 2012[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]CIV[/TD]
[TD="align: right"]73[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]57[/TD]
[TD](673)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]AS Dragons (Kinshasa)
524th (1985) - 1965 - 1999, 1999, 1999[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]COD[/TD]
[TD="align: right"]71[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]58[/TD]
[TD](703)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Dolphin (Port Harcourt)
696th (2011) - 1997 - 2011, 2011, 2011[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]NGA[/TD]
[TD="align: right"]67[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]59[/TD]
[TD](705)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Villa SC (Kampala)
661st (2005) - 1982 - 2009, 2009, 2009[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]UGA[/TD]
[TD="align: right"]66[/TD]
[TD][/TD]
[TD="bgcolor: springgreen"][/TD]
[TD="width: 5, bgcolor: springgreen"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]60[/TD]
[TD](713)[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]Young Africans FC (Dar-es-Salaam)
710th (2011) - 1968 - 2012, 2012, 2011
[/TD]
[TD] [/TD]
[TD]TAN[/TD]
[TD="align: right"]65

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: All-time Club World Rankings, top African football clubs
 
Yanga wanapenda kutoa reference ya Libolo ya mabao 4-0 dhidi ya Simba. Wanasahau kwamba wameshawahi kufungwa 6-0 na Raja Casablanca, halafu 5-0 na Simba. Sasa hizo 4-0 za Libolo mbona ni chache kulinganisha na 6-0 or just 5-0 !!?
 
Yanga wanapenda kutoa reference ya Libolo ya mabao 4-0 dhidi ya Simba. Wanasahau kwamba wameshawahi kufungwa 6-0 na Raja Casablanca, halafu 5-0 na Simba. Sasa hizo 4-0 za Libolo mbona ni chache kulinganisha na 6-0 or just 5-0 !!?

Mkuu, kuna kitu unaki-miss, unajua maana ya Libolo? Issue pale siyo wingi wa magoli bali ni hilo litimu kuifumania tiGO ya Simba! Au unataka nikuwee ile picha ya 'tozi original'?
 
mkuu, kuna kitu unaki-miss, unajua maana ya libolo? Issue pale siyo wingi wa magoli bali ni hilo litimu kuifumania tigo ya simba! Au unataka nikuwee ile picha ya 'tozi original'?

hapana chezea mnyama simba
 

Attachments

  • SIMBA KATUNI2.jpg
    41.9 KB · Views: 217
Ni haimo kwenye timu BORA 50 za kwanza labda kuanzia 51....na kuendelea tunaweza kuipata Yanga iko nafasi ya ngapi ngoja tuwaulize CAF kama wanaweza tupatia list ya timu zote zilizowahi shiriki mashindano yanayoandaliwa na CAF ndipo tutajua mustakabali wa Yanga iko nafasi ya ngapi.....ila ingekua ndo Ynaga imekua ya 32 kwa ubora Africa basi vichwa vya Magazeti vinngetawala
 
Mkuu, kuna kitu unaki-miss, unajua maana ya Libolo? Issue pale siyo wingi wa magoli bali ni hilo litimu kuifumania tiGO ya Simba! Au unataka nikuwee ile picha ya 'tozi original'?
Sikutegemea kwa umri wako (at least wa kuweza kulogin ktk JF account) ungekuwa unadiscuss jina la timu. Mwanzo nilidhani tunaenda pamoja katika mjadala, lakini kumbe kuna watu wanadiscuss jina la timu, sio performance uwanjani. However, thanks for unveiling your thinking level !!
 
 
Last edited by a moderator:

Usisahau na ndo timu ya Tanzania yenye HISTORIA ya kufungwa magoli mengi kwenye mashindano yanayoandaliwa na CAF..
 
Mkuu, kuna kitu unaki-miss, unajua maana ya Libolo? Issue pale siyo wingi wa magoli bali ni hilo litimu kuifumania tiGO ya Simba! Au unataka nikuwee ile picha ya 'tozi original'?

Simba ni ya kipekeee,,,

After defeating Simba of Tanzania 4-0 in Dar es Salaam in the first leg of the first round, Mufulira Wanderers hosted the Tanzanians for the second leg on 1 April 1979 in Lusaka, in what appeared to be a formality game. It turned out to be a catastrophe as Wanderers were thrashed 5-0 and dumped out of the competition 4-5 on aggregate. The local press had a field day calling it Wanderers' ‘most miserable performance in history' and ‘a big April Fool's Day affair.
 
Yanga ni wa hapahapa zaidi
 
Orodha ya vilabu bora Afrika sio ubingwa TZ jama!! kuelewa shida
 
Maana ya club bora hawaangalii tu uchezaji wa mpira bali wannangalia aina ya washabiki;management,matokeo ktk mechi za kimataifa nk.kwa yanga nawaonea huruma sana kwenye dicision zao za kiswahili swahili.
 
Yanga tulio wengi tunajua hakuna mpira wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…