CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri.

Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini Addis Ababa, Ethiopia, ambapo mabingwa wa Tanzania, Yanga, watakutana na mabingwa wa Ethiopia, CBE SA. Mechi hii inatarajiwa kuwa na upinzani mkali huku timu zote zikitafuta ushindi muhimu katika mashindano haya ya kimataifa.
1726313920192.png
Kikosi ambacho natarajia kukiona kikianza leo ni kama ifuatavyo

Dirra
Boka
Mwamnyeto [ C ]
Job
Bacca
Aucho
Maxi
Mudathir
Dube
Aziz Ki
Pacome
 
Cbe ni vital o waliochangamka. Watafungwa kama vichaaa
 
Back
Top Bottom