CAG achunguze gharama halisi ya Kombe la premier league. Haiwezekani kombe hilo la plastic liwe limegharimu laki mbili

wajingawatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
2,046
Reaction score
2,453
Nimepata tetesi kwamba kombe letu mpya ni la plasti na limegharimu TFF kiasi cha Tsh 200,000.
Kwa kuwa nahisi harufu ya ufisadi-kwani kwa makisio ya haraka kombo hilo halizidi Tsh 20,000/= pamoja na usafiri kutoka china kwa ndege.
Hivyo kuepusha pesa za walipa kodi kuliwa na wajanja wachache, namuomba CAG afanye ukaguzi mahsusi ili tujue gharama halisi ya kombe hili.
 
Poleni sana Makolo.. sijui mnateseka na nini.. ni wivu, chuki, roho mbaya au nn.. Maisha ni kutesa kwa zamu..
Wenzenu wako mjini wanafurahia kombe lao.. mtaanzisha Kila aina za nyuzi Ila maumivu hayatowaishia na ukweli utabaki kuwa palepale mwaka huu mna Timu mbovu Makolo na hamuwezi kucompete na Yanga hata mkijiandaa mwaka nzima.. Yanga wako juu Wana Kila aina ya furaha ya kujivunia walichonacho .....

Mnatesekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Makolo kama vipi chomoeni viwili hvyo mlivyopigwa msimu huuu
 
Sisi tunatetea hadhi ya ligi yetu. Haiwezekani waidhalilishe ligi yetu kwa kutuletea mashine ya peanut butter na kiita kombe la ligi kubwa kama hii yetu
 
Ok
yangasc-20220626-0001.jpg
 
Back
Top Bottom