wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Limepigwa ribiti kama aluminium.🤣🤣🤣kuna picha inasambaa inaonyesha kombe lina misumari kwa ndani.
Sisi tunatetea hadhi ya ligi yetu. Haiwezekani waidhalilishe ligi yetu kwa kutuletea mashine ya peanut butter na kiita kombe la ligi kubwa kama hii yetuPoleni sana Makolo.. sijui mnateseka na nini.. ni wivu, chuki, roho mbaya au nn.. Maisha ni kutesa kwa zamu..
Wenzenu wako mjini wanafurahia kombe lao.. mtaanzisha Kila aina za nyuzi Ila maumivu hayatowaishia na ukweli utabaki kuwa palepale mwaka huu mna Timu mbovu Makolo na hamuwezi kucompete na Yanga hata mkijiandaa mwaka nzima.. Yanga wako juu Wana Kila aina ya furaha ya kujivunia walichonacho .....
Mnatesekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Makolo kama vipi chomoeni viwili hvyo mlivyopigwa msimu huuu
Uto..wamelitetemesha jiji.
Ni kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna picha inasambaa inaonyesha kombe lina misumari kwa ndani.