OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi.
Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la ndani ni Tsh bilioni 18 na la nje ni bilioni 45. Hta hivyo tumeambiwa bado ni stahimilivu.
Ripoti hii imeenda ikiandaliwa kabla ya vita ya Urusi na Ukraine, je kwa mwaka wa fedha 2021/22 ripoti itakuwaje? Naendelea kumsoma CAG