CAG; Dawa za Bilioni 3.5 Zime Expiry Store za MSD.

CAG; Dawa za Bilioni 3.5 Zime Expiry Store za MSD.

Ukifanyika uchunguzi I bet lazima utagundulika udanganyifu na upigaji na UJANJA UJANJA 😂🤣
 
Hao watu wqna roho za kishetani
Yaani anaona afadhali amnyime mgonjwa masikini asiekuwa na hela lakini yaozee store

Halafu eti kuna wakaguzi na wengine wanakufa kwa kukosa dawa

Tusijiite masikini kama tuna dawa za 3b zinaozea store
Mna uwezo hata wa kutoa baadhi ya dawa bure na tukaishi

Tunajua misaada ni mingi ya ombaomba na ndio matokeo yake hayo

Ni aina flani ya LAANA mnaipata kutoka kwa wagonjwa na wafiwa kwa kuwanyima hizo dawa
 
Ni kweli dawa ndo zime expiry au bilioni 3 ndo ime expiry, kwenye makaratasi inasomeka dawa?
 
Mods hamisheni Uzi,hapa ulikuwa posted Kwa kupotea njia.
Kuna mahali inaoneka dawa zilizo expaya ni zaidi ya Tsh 28 Bilioni kwenye riporti hiyo. Naleta cutting hapa;
Screenshot_20230407_095541_Samsung Notes.jpg
 
Shida ni kwamba bado thread iko huku Kenya Forums, MODS hawapiti huku. Labda uanze upya
The problem is, kuna wabongo wanapenda tu kushindana na waKenya kwa kujifanya sisi ni wasafi zaidi yao na tuko na system nzuri ndiyo maana wanajikuta wanaleta mada hizi kwenye jukwaa la watu....[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom