ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dawa za B3 sio mchezo
MODS Hamisha hii mada kutoka Kenya News iende Jukwaa la Siasa au Habari Mchanganyoko
Mods hamisheni Uzi,hapa ulikuwa posted Kwa kupotea njia.MODS Hamisha hii mada kutoka Kenya News iende Jukwaa la Siasa au Habari Mchanganyoko
Kuna mahali inaoneka dawa zilizo expaya ni zaidi ya Tsh 28 Bilioni kwenye riporti hiyo. Naleta cutting hapa;Mods hamisheni Uzi,hapa ulikuwa posted Kwa kupotea njia.
Inaonekana daily news waliripoti ndivyo sivyo.Kuna mahali inaoneka dawa zilizo expaya ni zaidi ya Tsh 28 Bilioni kwenye riporti hiyo. Naleta cutting hapa;
View attachment 2580035
Shida ni kwamba bado thread iko huku Kenya Forums, MODS hawapiti huku. Labda uanze upyaInaonekana daily news waliripoti ndivyo sivyo.
The problem is, kuna wabongo wanapenda tu kushindana na waKenya kwa kujifanya sisi ni wasafi zaidi yao na tuko na system nzuri ndiyo maana wanajikuta wanaleta mada hizi kwenye jukwaa la watu....[emoji15][emoji15][emoji15]Shida ni kwamba bado thread iko huku Kenya Forums, MODS hawapiti huku. Labda uanze upya