CAG fuatilia hizi taarifa za mapato ya Timu. Kuna upigaji mkubwa sana

CAG fuatilia hizi taarifa za mapato ya Timu. Kuna upigaji mkubwa sana

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Anayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio.

Nashauri kama huna wataalam wa IT, utafute wataakamu waliobobea ili waibue madudu yatakayoshangaza wengi.

Inawezekana hata lile suala la mtandao kuwa chini wakati wa kuuza tickets za mechi kubwa,hufanywa maksudi.

Suala hili lisiachwe hivi hivi
 
Anayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio.
Nashauri kama huna wataalam wa IT,utafute wataakamu waliobobea ili waibue madudu yatakayoshangaza wengi.

Inawezekana hata lile suala la mtandao kuwa chini wakati wa kuuza tickets za mechi kubwa,hufanywa maksudi.Suala hili lisiachwe hivi hivi
Live....game za Simba na yanga dhidi ya timu yyte mashabiki huwa ni wengi sana....nahsi tupo nyuma ya takwimu halis
 
Kuna wizi mkubwa sana katika soka hapa nchini.

Nitasikitika sana kama serikali italinyamazia hili
 
Halafu ni nani anayefaidika na huu wizi unaofanyika?

Mechi ya Simba na Azam Chamazi eti waliokata ticket ni 1500 tu! Na viongozi wa timu wapo hawalalamiki...wanaona uwanja umejaa na umetapika.Uwanja una uwezo wa kuchukua watu 7000.Hivi huu ni wendawazimu au ni nini?

Halafu wapenzi wa soka hili wanalichukulia poa tu.Hivi waziri wa michezo haoni aibu ya kuwa hapo kwa wizi huu unaopindukia mipaka?

Yaani zaidi ya 50% inaingia mifuko ya watu bila kodi ya serikali?

Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi,ni ugaidi wa kiuchumi na uhaini wa michezo
 
Halafu ni nani anayefaidika na huu wizi unaofanyika?
Mechi ya Simba na Azam Chamazi eti waliokata ticket ni 1500 tu! Na viongozi wa timu wapo hawalalamiki...wanaona uwanja umejaa na umetapika.Uwanja una uwezo wa kuchukua watu 7000...
Waziri ana percent yake,Rais TFF ana percent yake,Wazir mkuu ana percent yake.Ndo maana unaona ukimya huu.
 
Halafu ni nani anayefaidika na huu wizi unaofanyika?
Mechi ya Simba na Azam Chamazi eti waliokata ticket ni 1500 tu! Na viongozi wa timu wapo hawalalamiki...wanaona uwanja umejaa na umetapika.Uwanja una uwezo wa kuchukua watu 7000...
Kupiga makelele mitandaon hakutusaidii kwa serikali hii ya mama, kipindi cha Magu ukiandika tu thread sensitive... kesho yake inafanyiwa kazi effective.
 
Mapato ya nini sasa mnataka? Nyie hitaji lenu soka safi na matokeo mazuri uwanjani bila kujali timu inaibiwa au laah, kwahyo tulieni hivyohivyo Coz mapato na matumizi ya timu sio hitaji lenu muhimu
 
Mapato ya nini sasa mnataka? Nyie hitaji lenu soka safi na matokeo mazuri uwanjani bila kujali timu inaibiwa au laah, kwahyo tulieni hivyohivyo Coz mapato na matumizi ya timu sio hitaji lenu muhimu
Nashangaa hata mimi
 
Back
Top Bottom