kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Live....game za Simba na yanga dhidi ya timu yyte mashabiki huwa ni wengi sana....nahsi tupo nyuma ya takwimu halisAnayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio.
Nashauri kama huna wataalam wa IT,utafute wataakamu waliobobea ili waibue madudu yatakayoshangaza wengi.
Inawezekana hata lile suala la mtandao kuwa chini wakati wa kuuza tickets za mechi kubwa,hufanywa maksudi.Suala hili lisiachwe hivi hivi
True.Mechi ya simba na mazembe pamoja na kununua tiketi nilikosa sehemu ya kukaa, watu walikaa mpaka kwenye ngazi halafu hawatangazi mapato baadae wanatutolea takwimu za kupika
Waziri ana percent yake,Rais TFF ana percent yake,Wazir mkuu ana percent yake.Ndo maana unaona ukimya huu.Halafu ni nani anayefaidika na huu wizi unaofanyika?
Mechi ya Simba na Azam Chamazi eti waliokata ticket ni 1500 tu! Na viongozi wa timu wapo hawalalamiki...wanaona uwanja umejaa na umetapika.Uwanja una uwezo wa kuchukua watu 7000...
Kupiga makelele mitandaon hakutusaidii kwa serikali hii ya mama, kipindi cha Magu ukiandika tu thread sensitive... kesho yake inafanyiwa kazi effective.Halafu ni nani anayefaidika na huu wizi unaofanyika?
Mechi ya Simba na Azam Chamazi eti waliokata ticket ni 1500 tu! Na viongozi wa timu wapo hawalalamiki...wanaona uwanja umejaa na umetapika.Uwanja una uwezo wa kuchukua watu 7000...
Nashangaa hata mimiMapato ya nini sasa mnataka? Nyie hitaji lenu soka safi na matokeo mazuri uwanjani bila kujali timu inaibiwa au laah, kwahyo tulieni hivyohivyo Coz mapato na matumizi ya timu sio hitaji lenu muhimu