Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
TrueSi unamjua aliekua akimuweka kwenye nafasi hizo? Hivyo jibu unalo...
Si hivyo mkuu.Two wrongs do not make a right..
Kama yeye aliwahi kosea huko nyuma
Haihalalishi wengine wakosee na wasiguswe
Watendaji wote wa serikali hii ya CCM wanahusika,ni vile hupenda kuwajibisha wenzao ila wao hapana. Kama mafarisago wanafiki wenye kuwatwika watu mizigo mizigo ila wao hawaigusi ngaa kwa kimoja cha vidole vyao.Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo.
-Ubambikaji kodi
-Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki.
-Kufungia biashara.
Hawezi leo kuwa benchmark ya ukweli.
(NB alikuwa mhasibu TANROADS)
Unafiki Republic!Watendaji wote wa serikali hii ya CCM wanahusika,ni vile hupenda kuwajibisha wenzao ila wao hapana. Kama mafarisago wanafiki wenye kuwatwika watu mizigo mizigo ila wao hawaigusi ngaa kwa kimoja cha vidole vyao.