CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Alukuwa anafundisha madudu tu

Hayo Madudu ndio yanawatoa povu..... hadi ameingia kaburini bado mnahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Your browser is not able to display this video.


Mumwache kipenzi chetu JPM apumzike kwa amani

Shujaa ametengeneza na kutuachia mashujaa, Rais SSH anaendeleza kazi
 
Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere
 
Kuna muda mwingine usikurupuke kuleta habari haijakamilika, eti na wewe umesoma kichwa cha habari unakuja na conclusion eti katishiwa KIFO.
Ulitaka akuletee gazeti zima, kwa hujaelewa kichwa Cha gazeti?

Utaga kumbe mbaya
 
Nje ya uCAG ana maisha yake binafsi, kuchukua pisi kali za watu, kurogana, nk. Nawaza nje ya mazoea tu!
 
Kwa moyo wako siingii hata kwa mtutu
Nani anataka kuwa mjingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulia wewee upate busu. Chukua kitu hicho mwaaahπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ‘ŒπŸΏπŸ‘ŒπŸΏ
 
Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere.
Huyo mwingine ambaye sio kichere kayajulia wapi hadi kuyaleta huku.

Au ndio amekuma wewe mpambe wake, maana wapambe wana nguvu kuliko muhusika🀣🀣
 

Hutaki aseme ili mumuue kirahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…