CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Wasiojulikana bado hawajajulikana tu? Pole CAG wetu - tunakuombea endelea kuyaanika maovu yao yoote as long as Rais ashakupa Rungu we twanga tu hata la Bichwa hakuna wa kukutisha !!
Aliambiwa ulimi wake usiwe na kigugumizu, ujumbe mujarabu kwa mataga.
 
Hivi tuseme kwa ulinzi alionao mkuu wetu ni kwa sababu ametishiwa KIFO? Achei kiki vijana fanyeni kazi . Ulinzi ni sehemu ya mahitaji yake kulingana na wadhifa wake.

Tuache kulishana maneno na kumsingizia mtu eti amesema, mbona hajapokea simu kuthibisha? huu ni UCHOCHEZI tu na kumvunjia heshima mteule aonekane mtu wa kiki za mitandaoni na kwenye media
 
Hata waliowahikupata madhara mliwalisha maneno kuwa wanatafuta kiki pindi walipolalamika.
 
Hii ni comment kutoka kwa MATAGA
 
Umeshapata chanjo ya AstraZeneca kama Mbowe alivyowaasa?
Umepagawa?AstraZeneca inahusikaje hapa?Huyo Head of The Gang kaondoka hivi hivi kwa kudhihaki Corona na kusifia nyungu,yu wapi sasa?
Waliogundua hiyo Chanjo hawakulazimishii ni wewe tu na shida zako.Hakuna uadui wowote hapo Bali nyungu ni alama na ishara za wazi za uchawi/ushirikina.
Fanyeni utafiti wa dawa asili za Tanzania na Madagascar mtuletee tiba/kinga ya Corona vinginevyo endelea na maombolezo.
 
Ninasikia damu za ubongo wenu mliopewa AstraZeneca zinaganda. No wonder hata akili zenu zimeganda.
 
Urithi aliouacha bwana yule, sasa wanatafutana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kigwangala si alisema amemuachia Mungu what is this? au kasikiliza clip ya Afande Sele?
 
Ninasikia damu za ubongo wenu mliopewa AstraZeneca zinaganda. No wonder hata akili zenu zimeganda.
Unanijumuisha na nani?Hapa jf na kwingine kokote huwa najimiliki mwenyewe,unadhani kila ajaye hapa anawashirika kama ulivyojizoesha?
Ubongo wako umeganda hata kabla ya hicho unachokidhihaki(AstraZeneca Vaccine),ukirest in peace utakuwa alone.
 
Unanijumuisha na nani?Hapa jf na kwingine kokote huwa najimiliki mwenyewe,unadhani kila ajaye hapa anawashirika kama ulivyojizoesha?
Ubongo wako umeganda hata kabla ya hicho unachokidhihaki(AstraZeneca Vaccine),ukirest in peace utakuwa alone.
Madalali wa AstraZeneca akili zenu zina hitilafu.
 
Well said kwetu tunasema"Hatolipwa binaadamu isipokuwa yale aliyoyatenda"Hakika tutamkumbuka mwendazake kwa mabaya mengi aliyowtendea wtz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…