CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

"Raia mwema yafungiwa miaka mitano"....angekuepo lakini 🤭
 
Yaani wanataka kumuua msemakweli? Alindwe kabisa. Aendelee kuwafumua tu.
 
"Raia mwema yafungiwa miaka mitano"....angekuepo lakini 🤭
Yaani nimecheka mpaka wananiangalia hapa wanafikiri akili zimenock. Kwanza JF toka Ile 17 March ingekuwa waasisi wameshafunguliwa kesi nyingine kama 10 hivi na wachangaji wa ukweli wangeshakamatwa. Eti makosa ya mtandao. My foot
 
Kwani kuna sehemu taarifa imeonesha kichere akithibitisha kutishiwa kifo?
 
Shikamoo Mama D
 
Kutoka maktaba yetu.
 
Na Leo kahitimisha kumbe Tanroad mambo hayakuwa shwari. Kile kifo ni mshtuko au ni nini? Watu nimekubaki Wana data za ukweli. Walisema kulikuwa na conduit pipe ya mzeebaba ya kusafirisha Mihela tokaTanroad, TPA n.k. Na report ya Kushwere Leo imethibitisha.
 
Wauaji wa maccm na Serikali hii haramu. Ndiyo ni Serikali haramu kwa sababu ilipora chaguzi haikupata ridhaa ya Watanzania.
 
Uongo tu.
Hakutishiwa Maisha yule mtangulizi wake atishiwe huyu anaepokea maagizo na maigizo toka juu?
Huyu si Ni CCM damu.
 
Ameficha sana madudu kibao ...mipesa imechotwa bot wakagawana wame minya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…