CAG Kicheree: Nimegundua ufisadi wa kutisha Manispaa ya Kinondoni

Hata mwenda zake ajapasuka tumbo!! Mambo mazito nilijua iko cku tutajua mengi kwenda kwenda kwenda
 
Swali Zuri!
Au ndiyo tutaishia kulalamika

Ova
Kufukuzwa? hii sio solution haya mambo hayataisha ikiwa hatua za kisheria kuchukuliwa kwa wale watakao bainika kuiba na mahakama na hatua kazli kuchukuliwa kama hatuwezi kunyonga kama China basi kuwafunga kifungo kirefu na kufilisi mali zote kwa yoyote atakaye patikana na hatia bila shaka ndio tutaona haya mambo kupungua au kuisha lakini kwa story tu mtu kaiba anafukuzwa yameisha wala hayataisha haya ndio maana kila mwaka ni same story hakuna jipya. Ni wakati wa kuchukuwa hatua kali za kisheria kwa yoyote atakayefanya ufisadi bila kujali ukubwa wake.
 
Ndomana nilishauri itungwe sheria kali
Kama waliyowatungia wafanyabiashara
Y madawa ya kulevya,nayo sheria kama hiyo
Wapigwe wezi wanaokula hela

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…