johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ha ha haatake asitake lazima tumuongeze muda tu.
View attachment 1760765
Hapa nazungumzia kauli ya Uttoh!Kuna kitu unalazimisha.
Mashirika ya umma na serikali vilitangaza kuwa lile ni gawiwo. (Japokuwa sote tunajua ule ulikuwa ni uongo).
Sasa mjadala sio kilipwa nini, mjadala ni uongo wa serikali na hayo mashirika kuhusu kulipa gawiwo. Ule ni wizi na uongo.
Hahahaaaa.......!View attachment 1760850
Tunaendelea kudemka...
Sasa enzi za marehemu hili gawio lilikua linapokelewa kwa sherehe maalum inayoandaliwa Ikulu.
Taasisi inakabidhi 3 billion kwa serikali alafu kwenye hotuba ya makabidhiano wanaiomba serikali iwasaidie 4.5 billion ya kujiendeshal
Huyo johnthebaptist siyo dogo kiumri, ana umri wa kutosha tu kama mwendazake. Labda anaweza kuwa dogo kifikra, maana umri ni namba tu, unaweza kuwa na umri mkubwa lakini una mawazo ya kitoto.Mkuu yule jiwe hakutakiwa kuongoza hata tarafa
Alikuwa mwongo mwongo flani hivi halafu wasiokuwa na shule walimuamini..mfano ni huyu dogo mjinga johnthebaptist
Hahahaaaa......Kazi Iendelee!Huyo johnthebaptist siyo dogo kiumri, ana umri wa kutosha tu kama mwendazake. Labda anaweza kuwa dogo kifikra, maana umri ni namba tu, unaweza kuwa na umri mkubwa lakini una mawazo ya kitoto.