CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Hakuna MTU anakataa hii ila tunachokataa ni uzushi wa meko kuwa ATCL limepata faida ya bil 28, hicho ndicho tunachokataa, meko Bora Mungu alimuondoa heartless man!
 
Hapana sera ya fedha hairuhusu hili..... Huwa ukaleta contractual monetary policy alafu wakati huo huo unataka kutanua Broad money (M3) !! Haiwezekani

Ukiona mishahara inapanda ina maana serikali inataka expansionary monetary system ili fedha isambae kuchochea uchumi so ikifika stage inataka kucontract ndio itapandisha some costs au taxes ili kurudisha pesa serikalini. Ila hayawezi tokea kwa mkupuo yanaachana ata least miaka kadhaa.

So elimu bora inaweza coincide na mishahara kupanda bila kuathiri mfumuko wa bei.
 
Watanzania ni wabishi sana naturally ata uwe na elimu gani ukishapewa chakula na watoto basi wakati wowote mtu anaweza kusimama na kuongea ilivyokuwa si sahihi.

Huwezi ku-invest ndege 8 kwa nchi maskini kama Tanzania kwa kutegemea hasara lakini kwa sababu hili limetokea Tanzania then kila mtu anapanua mdomo wake naye aongee chochote.
 
Uttoh kanikosha hapo kwenye 'UDSM wanalipa gawio serikalini kwa biashara ipi?'. Ni ujinga vyuo vya elimu kutoa gawio serikalini.

Kama vina hela za nyongeza viboreshe elimu vitoayo (vyote vinatoa elimu ya kiwango cha chini). Chuo kipi bongo kimeweza kujiboresha kufikia kusema kimebaki na hela ya ziada? Wabongo kwa kuchezea elimu hatujambo
 
Mishahara inaongezwa sio considering tu inflation na interest rate pekee ila angalia time value of money na Exhange rate parity hvi laki 5 ya 2015 na 2020 zinafanana hata kma utapunguza makato?

Shida tunaangalia tu domestic market huku unasahau bidhaa nyingi tunaagiza nje sasa kama hela haipandi thamani (Peg kwa dollar) na mishahara haiongezwi automatically thamani ya pesa inashuka so vitu ambavyo ungenunua 10 mwaka 2015 kwa sasa utanunua 8 au 7.

Kingine mishahara ikipanda ni kuchochea tu uchumi enterprise zikue mwishowe serikali itakusanya kodi yake. Uchumi ni macro effects haupimi kwa kuangalia tu wanufaika wa mishahara bali quotiemt itakayokua spent kwenye uchumi mfano ujenzi,consumption etc so tusibeze increments maana tukienda kwa staili hii mtadai walimu Hawalipi daladala so imeshusha cost cjui walimu hwanunui nguo ssa wanapewa shuleni so inashusha cost.... Liquidity ni liqudity tu service haiwezi fidia au kuwa mbadala wa liqudity/velocity kma kichocheo cha uchumi kutanuka.
 
Reactions: Ame
1. Kama kulikuwa na faida kwanini walikuwa wanakwepa kukaguliwa kwa hilo shirika? Kungekuwa mambo shwari nakuhakikishia wasingesita kukaguliwa

2. Kwa kukosekana uwazi kwenye biashara zao unafikiri tukisema walikuwa wanapika data tutakosea?
 
Kama ATCL ililkuwa inalipa Bilioni 28 serikalini ili hali inapata hasara, basi hiyo walikuwa wanachukulia kama EXPENSE katika vitabu vyao. Sasa swali walikuwa wanalipa hiyo expense jina gani, hapo sasa yeye kama mhasibu anaweza kulidadavua hilo katika vitabu husika.

Kwa maana hiyo kama bilioni 28 ni expense ambayo kimsingi haikutakiwa kulipwa, ingerudishwa ATCL, bado shirika lingepata hasara ya 60-28 = bilioni 32.

Hii ni book keeping ya form 4.
 
Fly emirates halipati faida? Emirates imekuwa ikipata profit mpaka 2019/2020 due to Covid-19 impact before that it has been making big profit.
Kwa report ya mwezi march emirates imepata faida ya AED 1.7 billion ambayo kwa US dolla ni $456 million ambapo kwa pesa yetu ya madafu ni sawa na shilingi 1,057,450,320,000.00
 
Ndugu yangu unaweza kuniita mimi mwongo kwasababu hujafanya tafiti vizuri, hebu fanya tafiti zaidi. Mashirika yote ya ndege uliyoyataja hapo juu hayapati faida kwa kufanya safari za anga peke yake, bali yanajihusisha na biashara nyingine zaidi ya usafirishaji wa abiria (Passengers): Mengine yanajihusisha na usafirishaji mizigo (Freight)....

Ethiopian-Airlines wao wanamiliki hadi chuo cha usafirishaji wa anga ambacho kutoa mafunzo kwa marubani na wahudumu wa ndege kutoka nchi mbalimbali za Afrika, lakini pia karakana yao imesajiliwa na The Federal Aviation Agency (FAA) ya Marekani kuweza kufanya marekebisho na ukarabati wa ndege za Marekani kama Boeing.

Korean-Air nao pia mfumo wao wa kibiashara ni mpana kwasababu hawategemei tu usafirishaji wa abiria na mizigo. Shirika lile linajihusisha na biashara kubwa ya mahoteli, ambako linamiliki mahoteli makubwa matano ya kimataifa kuanzia kwao Korea hadi Marekani Hyatt ikiwemo.. Lakini pia shirika lao limekuwa na tabia ya kununua hisa kwenye mashirika mbalimbali na kutengeneza faida.

Mashirika yote ya usafirishaji hayaingizi faida za moja kwa moja kutokana na safari za anga. Gharama ya kuendesha usafirishaji wa angani ni kubwa sana na kamwe haiwezi kuingiza faida kwa pesa za wasafiri, hivyo ungesoma zaidi kuhusu mfumo wa uendeshaji wa hayo mashirika ungeyafahamu haya.

Sasa hayo maelezo mengi ya wongo niliyoyasema labda wewe mtaalamu wa Aviation unioneshe......
 
Nimechoka kueleza...Sasa hao 11% kama haiongezi tax base unatakaje..Sheria ya uchumi ni moja hutakiwi kula usichokizalisha...Hao 11% wamejaa service sector na kwakukosa kwao ubunifu hawatengenezi mifumo ambayo itazaLisha ajira ili kuongeza tax base...Uchumi unahitaji sana creativity na subjective decisions...Hao 11% hawaongezi tija zaidi ta ku consume wasichokizalisha, so tujiangalie tena wapi tunakwama siyo kulia lia...Kama thamani ya pesa siyo wao pekee hata hao ambao hawana sustainable incomes wanapata hiyo shida...
 
All in all mijadala kama hii inasaidia sana kuonheza ufahamu wa wafanya maamuzi...Ahsante uliyeleta hii mada
 
Thanks!
Nice, logical and factual argument. Akili kubwa!
Tatizo watanzania wengi, hata waliosoma ni mateka wa propaganda.

Maisha kipindi cha JPM yalikuwa na unafuu mkubwa sana kwa watanzania walio wengi.
Miaka ya nyuma walio faidi keki ya taifa walikuwa wachache sana. Mijini watu walikuwa wanajirusha, wanashinda night clubs na kupangia nyumba mademu hata 4 kwa mpigo, wakati ukienda kijijini hupati change ya sh 10,000.00.

Watanzania wa vijijini walikuwa wanakumbwa na njaa na hwana fedha ndogo ya matibabu. Ndiyo mana kipindi cha mavuno sababu ya madeni na mahitaji ya muhimu hasa matibabu walikuwa wanauza mazao yote kwa bei ndogo na kisha hao hao wakulima wenye kipato kidogo wanakuja kulazimika kununua mazao kwa ajili ya chakula kwa bei kubwa sana. Aliyekuwa anafaidi, mfanyabiashara!
 
Wapumbavu kama ninyi ndio mlikuwa mtaji wake wa kisiasa. Mungu akaona kuliko aue wapumbavu 30M ni bora amfutilie mbali mpumbavu mmoja ili hawa wapumbavu 30M mpone, mbaya zaidi hamkupona, kuna haja ya Mungu kuwafutilia mbali kmmmmk!!
 
Wapumbavu kama ninyi ndio mlikuwa mtaji wake wa kisiasa. Mungu akaona kuliko aue wapumbavu 30M ni bora amfutilie mbali mpumbavu mmoja ili hawa wapumbavu 30M mpone, mbaya zaidi hamkupona, kuna haja ya Mungu kuwafutilia mbali kmmmmk!!
Duh.....hayo sasa ni matusi!
 
Kwa hiyo route kama Dar Chato ndio zitaleta faida?
 
Wapumbavu kama ninyi ndio mlikuwa mtaji wake wa kisiasa. Mungu akaona kuliko aue wapumbavu 30M ni bora amfutilie mbali mpumbavu mmoja ili hawa wapumbavu 30M mpone, mbaya zaidi hamkupona, kuna haja ya Mungu kuwafutilia mbali kmmmmk!!
Daah kwa hasira hizi utapunguza miaka ya kuishi duniani huku wenzako tukiendelea na yetu...Punguza hasira, itakuua mwenyewe kabla ya sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…