CAG Mussa Assad anapaswa kufukuzwa!

CAG Mussa Assad anapaswa kufukuzwa!

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
2,086
Reaction score
2,823
Hata ukimpa benefit of the doubt kwamba ni kosa la kimahesabu la kibinadamu na hata tukisema ni karani wake alikosea ku type, bado Assad anaamini kwamba siku deni la taifa likikua likafika zaidi ya robo tatu (76%) ya GDP basi hayo yatakuwa majanga kiuchumi. Na akasema hayo yametokea kwenye nchi nyingine na hawakubaki salama.

Bosi wake, Rais Magufuli, kasema yeye anaamini kwamba hata deni lingefika 200% of GDP bado tutakuwa tuko vizuri na yeye Rais, kama CAG, akasema ameyaona hayo katika nchi nyingine na wako vizuri.

Kwa misimamo na mitazamo hii inayogongana ya kiuchumi CAG Assad ndie anatakiwa atenguliwe.
 
Afukuzwe ili aseme ukweli kama kapiga U~turn ya faster sana
 
Back
Top Bottom