CAG: Ndege yenye miaka 47 ilikarabatiwa kwa 278.42m ikatumika masaa 18

Nchi inatafunwa hii. Na kila siku afadhali ya jana. Wale wanaofikiri mambo yametulia sasa hivi, wajiandae. Waanze kula popcorn maana ni suala la muda tu yatakuwa yale yale.
Lord Have Mercy on Us.
 
Nchi hii inahitaji mabadiliko ya hali ya juu. Mbona tunazama kila siku.
Na Bado na hivi tembo wameongezeka kila kona na msomali mwenye uraia wa Canada amerudishwa jiandaeni kisaikolojia. Nani atamzuia pia Riz moko kwenye ile biashara yake na Manji. ?
 
MaCCM wote akili zao hazina akili.
Ogopa sana huu utatu usio mtakatatifu( Ridh1,Nape na Makamba) wanaratibu mtandao hatari sana wa hatima uongozi wa juu wa taifa letu huko mbeleni. Nmeipata from reliable source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…