Cag report 2009/2010

Maimai

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
174
Reaction score
4
Jamani mengi yamesemwa kuhusu ripoti ya CAG nikipiga hesabu za harakaharaka naona kiasi cha trillioni moja na ushee hivi zilikombwa na wajanja kwenye halmashauri, mawizara, idara na makampuni ya umma. Wizara ya fedha, mambo ya nje, magereza,ujenzi wamebunya kishenzi....poa tu si tukiona mtu kanunua hummer tunashangilia baada ya kuuliza kalipataje... Exclude faithful traders.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…