CAG tunaomba repoti za mwaka 2021/2022. Hizi za Magufuli kwanini haukuzileta mwaka jana?

CAG tunaomba repoti za mwaka 2021/2022. Hizi za Magufuli kwanini haukuzileta mwaka jana?

kumusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
567
Reaction score
893
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG anatupatia mpaka report za nyuma kabisa za Magufuli.

Swali langu ni je, kwanini hizi report CAG hakuzitoa miaka miwili iliyopita? Au CAG anatoa hizi report za nyuma ili kufunika uozo wa Rais Samia? Kwahiyo tuanze kumjadili Magufuli wakati huyu mtu hayupo zaidi ya miaka miwili iliyopita?

Kwann report zake hazikutolewa tu wakati Rais Samia anamaliza Mwaka mmoja? Hii ni hatari sana, hata mwakani na baada ya miaka mitano tutaletewa report za Magufuli wakati Rais Samia ndiye yupo madarakani.

Nimepata wasiwasi na CAG, anatumiaka kisiasa.
 
Hii Ndiyo maana halisi ya nyumbu, Mbowe ana raha sana kuongoza vilaza wa namna hii
 
Back
Top Bottom