Ndugu zangu taifa hili lina mafumbo mazito sana kiasi mimi natetemeka hata kuandika hii habari.
Hivi kweli mahojiano ya CAG Kule majuu na vile mkuu wa lile jumba dodoma alivyo pokea yanafanana?
Hili sakata nani ana chezesha remote? Najuwa watu mtasema Kule magogoni
Mmmm nakataa hii picha ipo nyuma ya pazia tena pazia jeusi kiasi alioko nyuma hatumjuwi.
Hili ni fumbo najuwa pale magogoni wenye akili wamesha juwa na Uwenda hawataki hata kusikia au hata toa even comment hili sakata lina taka kumuondoka mkuu kwenye mstari while wabaya wanao jifanya wema kwake wakimcheka.
Hili nifumbo wenye akili wameshajuwa na Uwenda alie lianzisha ataambiwa alimalize mwenyewe kikatiba while mwenye mamlaka ya uteuzi akikaa mbali na haya yanayo endelea.
Nini kipo nyuma ya hili? Na Kwanini sasa sio jana? Kwanini vyombo vya habari ndio vinatumika!
Naimani washauri wa Rais wanasoma humu. Huu ni mtihani kwa Mh Rais na hekima itumike sana kuliko hasira na jaziba.
Yes mnaweza shinikiza Assad CAG atenguliwe yes akatenguliwa ila hali ndani ya serikali haitokuwa nzuri yataibuka mambo mengine nje ya hili mbaya zaidi watu. Watatoka kwenye siasa na kujadili imani hapo ndipo utakuwa mlipuko.
Mimi kwa kuona mbali na ninavyo amini Rais acheze karata tatu lipo jaribio kumvuruga wakati anaelekea 2020.
Nikweli Assad ameongea bunge dhaifu but sio kwa kisiasa na kwawenye kumjuea Assad wanakwambia mkuu Acha hili lipite na usiguse jambo hili maana hukulianzisha mbaya zaid Assad ni mtu wakaribu ktk kazi zako usiruhusu atoke nje ya nyumba kabla ya wakati kutunza yaliomo ndani.
Mengine nisiongee ila taifa langu nakupenda na viongoz wangu.