OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 20, 2020 #1 Swali linajieleza. Nani CAG wa Zanzibar? Mbona ripoti zake hazisikiki. Je, hakuna ufisadi wa kulipua huko Zanzibar? Kama huyu CAG wa Bara Ndugu Kichere ndiye CAG wa Zanzibar, mbona hatumsikii akiitaja Zanzibar katika ripoti zake?
Swali linajieleza. Nani CAG wa Zanzibar? Mbona ripoti zake hazisikiki. Je, hakuna ufisadi wa kulipua huko Zanzibar? Kama huyu CAG wa Bara Ndugu Kichere ndiye CAG wa Zanzibar, mbona hatumsikii akiitaja Zanzibar katika ripoti zake?
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 7,683 Reaction score 15,128 Jun 20, 2020 #2 Kichere ni CAG wa Tanzania sio Tanganyika so nina amini pamoja na Zanzibar wenye kujua zaidi watasema.
Kichere ni CAG wa Tanzania sio Tanganyika so nina amini pamoja na Zanzibar wenye kujua zaidi watasema.
Ngoke JF-Expert Member Joined Jun 14, 2020 Posts 285 Reaction score 504 Jun 20, 2020 #3 Hata mimi simjui
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,556 Jun 20, 2020 #4 Home