calabash pub

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
ndani ya calabaSh wana jf mpoo?naona kumekucha hapa
 
kama hamsubiri shemeji na hupenda kukaa hapa basi ni mtu wa 'kula na macho'

mimi hapo hupita mchana kula ugali wa muhugo na samaki lakini usiku mitaa yangu San Ciiro na Bils.

sawa mzee wa club,mimi lager tu halafu kulala
 
jamaa wamenifurahisha sana na masebene yao.
 
Mnakumbuka kuswali kweli au ni bata kwa kwenda mbele.
 
kweli watu hatulingani haya bwana endelea kupombeka..
 
Kuna big screen hapo nije kucheki game ya Arsenal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…