Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Habari,
Wakuu nimemaliza Diploma na leo matokeo yametoka ya kuingia Bachelor matokeo yangu ni yafuatayo.
Semester ya kwanza nina GPA 3.0 na Supp,
Semester ya pili nina GPA 2.4 na Supp, Sasa vipi nikisapua hizo Supp mbili nikaongeza na hiyo 2.4 sifiki 3.0 au nichungulie mishe zingine za kitaa !?